Washiriki kutoka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) – Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, wakihitimisha kwa mafanikio mafunzo ya GIS kwa usimamizi wa miundombinu ya maji, wakiwa pamoja na mratibu na wakufunzi kutoka Chuo cha Ardhi Morog

Karibu Wanafunzi Wapya wa ARIMO – Intake 2026/2027 (First Round) Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) kinawakaribisha wanafunzi wapya waliochaguliwa kujiunga na programu za NTA Level 4 na Level 5 kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Jumla ya wanafunzi 266 wamepata n

Apply now for 2026 - 2027 (September Intake)

Kuimarisha mshikamano wa kazi nje ya mazingira ya ofisi — Wafanyakazi wa ARIMO katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Leonard Akwilapo, akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Ardhi Morogoro, Prof. Ernest Kihanga, na Mkuu wa Chuo, Bw. Charles Saguda.

ARIMO graduate demonstrating to visitors how to use GNSS equipment at a academic exhibition

Matukio