Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) kinapenda kuwataarifu umma kwamba dirisha la maombi kwa ajili ya kujiunga na masomo kwa mkupuo wa Septemba 2025 limefunguliwa rasmi. Tunakaribisha maombi ya kujiunga na kozi zifuatazo:
???? Namna ya Kuomba:
Fomu za maombi pamoja na maelezo muhimu zinapatikana kwenye tovuti ya chuo: ???? www.arimo.ac.tz
???? Nani Anaweza Kuomba?
Dirisha hili la maombi liko wazi kwa wahitimu wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita, pamoja na wataalamu wanaotaka kujiendeleza katika fani za upimaji ardhi, upangaji wa miji, na mifumo ya taarifa za kijiografia (GIS).
???? Kwa Msaada Zaidi:
Wasiliana na Ofisi ya Udahili kwa namba:
???? +255 782 724 572
???? Jipatie maarifa na ujuzi unaohitajika kushiriki kikamilifu katika upimaji wa ardhi, upangaji miji na sayansi ya taarifa za kijiografia.
Tuma Maombi Yako Sasa na Jihakikishie Nafasi ARIMO!